Kutoka mashinani hadi malengo ya dunia 🌍✨
Leo mwenyekiti wetu Elvis Wambura alishiriki kwenye Gumzo Letu ya BBC Swahili, akieleza jinsi vijana wa wanavyobadilisha SDGs kuwa vitendo halisi — kwa kuendana na kauli mbiu ya Siku ya Kimataifa ya Vijana mwaka huu. 🎯🎙️ Pia kwenye mazungumzo: Kennedy Odede, Mwanzilishi wa SHOFCO.
Sikiliza mazungumzo kamili ⬇️